Latest Post

TPDC INTERVIEW RESULTS - APRIL 20 , 2014

Written By KIJIWE CHA WASOMI on Sunday, April 20, 2014 | 5:30 PM

NEW DEALS. APPLY NOW

Consulting-Business Analyst - Human CapitalJob description:

Deloitte East AfricaDeloitte East Africa provides seamless cross-border professional services to multinationals, large national enterprises, small and medium sized enterprises and the public sector across Kenya, Uganda, Tanzania, Ethiopia and Rwanda. 

Invitation to connect on LinkedIn

 
LinkedIn
 
 
 
Elly Marimbocho
 
From Elly Marimbocho
 
Education Officer II at Mtwara Mikindani Municipal
Tanzania
 
 
 
 
 
 
 

I'd like to add you to my professional network on LinkedIn.

- Elly

 
 
 
 
 
 
 
You are receiving Invitation to Connect emails. Unsubscribe
© 2014, LinkedIn Corporation. 2029 Stierlin Ct. Mountain View, CA 94043, USA
 

SERIKALI YA TANZANIA KUANDAA SHERIA YA KUKABILIANA NA UHALIFU WA KIMTANDAO

Serikali ya Tanzania ipo katika hatua ya mwisho za kuandaa sheria ya kukabiliana na uhalifu wa kimtandao ambapo kwa sasa inajiandaa kuwasilisha muswaada wa sheria hiyo kwenye baraza la Mawaziri.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Sayansi na Teknolojia wa Tanzania Profesa Makame Mbarawa

Office Manager at Fugro - Tanzania

Job description

Job responsibilities:
  • Maintains office services by organizing office operations and procedures; preparing payroll; controlling correspondence; designing filing systems; reviewing and approving supply requisitions; assigning and monitoring clerical functions.

AJIRA MPYA: Bulyanhulu Gold Mine

Engineering Standards Specialist at Bulyanhulu Gold Mine
ENGINEERING STANDARDS SPECIALIST

African Barrick Gold’s Bulyanhulu Gold Mine in Tanzania is looking to appoint an Engineering Standards Specialist. This role reports to the

NAFASI ZA KAZI TIGO TANZANIA.

Written By KIJIWE CHA WASOMI on Saturday, April 19, 2014 | 10:10 PM

Language Job ID
English MFS Zonal Manager, Coast 1745 Dar Es Salaam Mobile Financial Services 17-Apr-2014 


You are responsible for driving the penetration and adoption of the Mobile financial services in the Zone, build an efficient process to collect market feedback and requirements from the market.

KIFAA CHA AJABU CHAZINDULIWA... HII NI TEKNOLOJIA YA AJABU SANA DUUUH.

Kifaa kipya kimegunduliwa ambacho kitawawezesha walemavu wasioona kusoma maandishi yaliyochapishwa kwenye vitabu, kusoma kupitia computer, simu, ipad na maandishi mengine. Hii ni picha ya kifaa hicho ambacho kitakuwa kikivaliwa kidoleni na kusaidia walemavu wa macho kusoma maandishi yaliyo chapishwa.
Kifaa hicho kimetengenezwa na

AJIRA MPYA: WAMATA DAR ES SALAAM PAMOJA TUWALEE PROGRAM

2Positions: Most Vulnerable Children- Focal Persons

Location Kibaha and Bagamoyo

1Position: Data clerk

Location: Kibaha

Reports to: Project Coordinator Date: 16th April, 2014

TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015

Written By KIJIWE CHA WASOMI on Friday, April 18, 2014 | 4:30 PM

A. TANGAZO LA NGAZI YA CHETI {TANGAZO LA STASHAHADA LIPO CHINI}

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
Simu: 022-2110146/2110150/2, 211679, Faksi: 022-2113271, Tovuti: www.moe.go.tz
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI KWA
MWAKA WA MASOMO 2014/2015
UTANGULIZI

AJIRA MPYA: SELOUS SAFARI COMPANY MWISHO TAREHE 30/4/2014

Written By KIJIWE CHA WASOMI on Thursday, April 17, 2014 | 9:30 PM

The Head Waiter
Main Duties and Responsibilities
The Head Waiter is responsible for the whole department
•Must check the dining area is set up for the proper number of guests for each meal
•Check for any dietary requirements for any guests
•Make sure there is enough stock of all items used

AJIRA KIBAO MBEYA UWSA.: MWISHO 30/4/2014

Sanitation and Environmental Technician II
Company:Mbeya Urban Water and Sewerage Authority (Mbeya UWSA)
Location:Mbeya
POSITION DESCRIPTION:
Mbeya Urban Water and Sewerage Authority (Mbeya UWSA) is an autonomous water supply organization mandated to provide water and

TANGAZO LA AJIRA: DAR ES SALAAM CORRIDOR COMMITTEE (DCC) MWISHO TAREHE 7/5/2014

Administration Assistant
Company:Dar es Salaam Corridor Committee (DCC)
Location:Dar Es Salaam
POSITION DESCRIPTION:
The Dar es Salaam Corridor Committee (DCC) is a trade and transport facilitation agency established under the SADC Protocol on Transport, Communication and Meteorology, whose objective

UFAFANUZI ZAIDI KUHUSU MATANGAZO YA KAZI

Waombaji wa fursa za ajira Serikalini kupitia Sekretarieti ya Ajira wametakiwa kuweka kumbukumbu sahihi za matangazo ya kazi wanazoziomba ili kurahisisha kujua ni tangazo gani aliomba pindi matangazo ya kuitwa kwenye usaili yanapotolewa.
Hayo yamesemwa  na  Bw. Lucas Mrumapili ambae ni  Naibu Katibu wa Idara ya Ajira katika Sekretarieti ya Ajira wakati akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya wasailiwa waliofika  ofisini kwake ili kujua majina ya kuitwa kwenye usaili wa nafasi za kazi za PPRA utafanyika lini.

NAFASI 10 MPYA ZA AJIRA: CFAO MOTORS & ALLIANCE AUTOS

PARTS – GRADUATE POSITION MANAGEMENT TRAINEE
POSITION DESCRIPTION:

From The Guardian April 16, 2014
CFAO MOTORS & ALLIANCE AUTOS are the authorised distributors of Mercedes Benz Truck,

AJIRA MPYA: WORLD VISION

Senior Cluster Accountant

World Vision is a Christian Development, Relief and Advocacy Non-Government Organization dedicated to working with children, families and communities tovercome poverty and injustice. World Vision is committed to the protection of children and does not employ people whose background is not suitable for working with children. All employment

EAST AFRICAN ESSAY WRITING COMPETITION 2014

The East African Community Secretariat has organized the EAC students essay writing competition year 2014. The Essay writing competition is intended to broaden knowledge of the school going population on EAC activities.

The topic for year 2014 in English is “How will the Free Movement of the people of East Africa Community Region affect their lives”

TANGAZO LA AJIRA 51 SERIKALINI.

Written By KIJIWE CHA WASOMI on Wednesday, April 16, 2014 | 9:23 PM


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESIDENT’S OFFICE
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref. Na EA.7/96/01/G/12
16stApril, 2014
VACANCIES ANNOUNCEMENT
On behalf of the Centre for Agricultural Mechanization and Rural Technology
(CAMARTEC), The Small Industries Development Organization (SIDO), The Capital

TANGAZO LA AJIRA MPYA: RAILWAY CHILDREN-MWANZA MWISHO TAREHE 25/4/2014

Social Worker – Family Work
Responsibilities:
Family worker with own case-load with a focus on reunifying children with their families, and preventing their siblings from going to the streets.
Responsible for working directly with families and coordinating all support and services for each family on their case-load.
 Identify and document specific needs in families

AJIRA MPYA : TANROADS MWISHO TAREHE 8/5/2014

TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY (TANROADS) is a semi-Autonomous Agency under the Ministry of Works established on July 1, 2000 and is responsible for the day to day management of the Tanzania Mainland's trunk and regional roads network. Its primary function include the control, the implementation of road safety and environmental measures, provision of advice on the strategic framework, policies and plans for the road

Total Pageviews

 
Developed by : Kijiwe Media | Elly Ombeni Marimbocho | +255 712 592 186
Copyright © 2011. KIJIWE CHA WASOMI - All Rights Reserved
Advertise with Kijiwe Cha Wasomi Increase your earnings elinipendo@yahoo.com
SMS TO 0712 592 186